Kumetokea story ya kwamba Pacquiao alikua na jeraha kwenye bega wakati akiwa kwenye mchezo wake na Mayweather. Watu wengine wanasema kwamba hiyo ni moja ya sababu zilizomfanya asiweze kupiga ngumi za uhakika.
Lakini kumbe kabla ya pambano kuna questionnaire ambayo kila boxer anaijaza kuhusu mambo mbalimbali. Moja ya swali linahusu hasa kuhusu kama una jeraha kwenye mabega au mikono yako.
Karatasi ya Pacquiao imeonyesha kwamba ame tick yuko vizuri hana jeraha lolote. Officials wa pambano walikua hawana taarifa yoyo kuhusu yeye kuwa na jeraha. So inajulikana amecheza pambano akiwa na afya bila jeraha
0 comments:
Post a Comment