Mashindano ya Copa America 2015 yatafayika kwa mara ya 44 kuanzia 11 June hadi 4July 2015. Mashindano haya ambayo yanahusisha timu za taifa za Amerika ya kusini yatafanyika ndani ya Chile.
Mwaka huu kuna timu mpya mbili kutoka CONCACAF ambao ni Mexico na Jamaica.Kocha Dunga ameshatoa listi ya wachezaji wake 23 watakao unda kikosi cha Brazil kwenye michuano hii

0 comments:
Post a Comment