Monday, May 4, 2015


'Licha ya kupewa unahodha katika mechi ambazo John Bocco 'Adebayor' haanzi kikosini, Sure Boy ameonekana kuwa na utovu mkubwa wa nidhamu.'

KIUNGO Salum Abubakar 'Sure Boy' ameweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee wa Azam FC aliyelimwa kadi mbili nyekundu, tena za moja kwa moja msimu huu.

  
Tangu kuanza kwa msimu huu Septemba 20 mwaka jana, kikosi cha Azam kimepata kadi nyekundu tatu, mbili akionyeshwa kiungo huyo katika mechi waliyoshinda 1-0 dhidi ya JKT Ruvu Stars jijini hapa Machi 7 na ile ya kipigo cha 2-1 dhidi ya Simba jana huku moja akilimwa kiungo Himid Mao katika mechi ya suluhu dhidi ya Mgambo Shooting Stars jijini Tanga Aprili 15.

Kocha mkuu wa Azam FC, George 'Best' Nsimbe', alisema jijini hapa jana kuwa kadi nyekundu ya Sure Boy ndiyo iliyokinyong'onyesha kikosi chake na kujikuta kikipoteza mechi ya tatu msimu huu.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video