Timu ya Yanga imeondoka Saa 4:00 asubuhi kwa ndege maalum ya kukodi ya serikali na itafikia katika hoteli ya Rainbow na jioni itakwenda kufanya mazoezi ya kuuzoea Uwanja wa Mandava, umbali wa kilomita 200.
Huu ni msafara wa timu uliondoka kwenda Zimbabwe.
Makipa
Deo Munishi ‘Dida’ na Ally Mustafa ‘Barthez’
Deo Munishi ‘Dida’ na Ally Mustafa ‘Barthez’
Mabeki
Juma Abdul, Oscar Joshua, Mbuyu Twite, Pato Ngonyani, Rajab Zahir, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Kevin Yondan.
Juma Abdul, Oscar Joshua, Mbuyu Twite, Pato Ngonyani, Rajab Zahir, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Kevin Yondan.
Viungo
Salum Telela, Said Juma, Nizar Khalfan, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Mrisho Ngassa
Salum Telela, Said Juma, Nizar Khalfan, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Mrisho Ngassa
Washambuliaji
Danny Mrwanda, Amisi Tambwe na Hussein Javu.
Danny Mrwanda, Amisi Tambwe na Hussein Javu.
Benchi la Ufundi
Kocha Mkuu
Hans van der Pluijm
Kocha Mkuu
Hans van der Pluijm
Kocha Msaidizi
Charles Boniface Mkwasa
Charles Boniface Mkwasa
kocha wa makipa
Juma Pondamali
Juma Pondamali
Meneja
Hafidh Saleh
Hafidh Saleh
Daktari
Sufiani Juma
Sufiani Juma
mtunza vifaa
Mahmoud Omar ‘Mpogolo’
Mahmoud Omar ‘Mpogolo’
Mchua misuli
Jacob Onyango.
Jacob Onyango.

0 comments:
Post a Comment