Friday, April 3, 2015


Mrisho Ngassa: "Tunaenda kutafuta ushindi mwingine na sio sare, kwa ile beki yao tunaweza kuwafunga lakini sio 5 tena bali hata mbili tutawapiga".

Simon Msuva: "Tuna kikosi kizuri kila mtu ana morali ya kufanya vyema,mchezo utakuwa mgumu ila tutasonga mbele".

Amiss Jocelyn Tambwe. "Mchezo utakuwa mgumu sana,bado tuna mlima wa kuupanda!tuna kikosi kizuri sana siri ya kufanikiwa hapo kesho ni kujituma tu,tutaibuka na ushindi huko huko kama tutacheza soka letu na kujituma".

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video