WAKIWA na uchungu wa kupigwa mabao manne na Arsenal, Liverpool kesho wanashuka dimbani kucheza na Blackburn Rovers katika mechi pekee ya kombe la FA nchini England.
Mechi hiyo itaanza saa 3:45 usiku kwa saa za Afrika mashariki.
Hicho ni kipimo kingine kwa Kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers ambaye msimu huu mambo yamekuwa magumu kwake na anapambana kwa kila hali kuingia nafasi nne za juu.


0 comments:
Post a Comment