Tuesday, April 7, 2015


LIGI pendwa duniani ya England (EPL) inaendelea leo kwa mechi moja kupigwa ambapo Aston Villa wanaikaribisha Queens Park Rangers (QPR) kwenye uwanja wa Villa Park.
'Kimeo' hiki kitaanza majira ya saa 3:45 usiku kwa saa za Tanzania.
Hii si mechi ya kukosa kwani inatarajiwa kuwa na upinzani wa hali ya juu kutokana na timu zote kuhitaji pointi tatu muhimu ili kuendelea kujiweka mazingira mazuri katika msimamo wa ligi kuu.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video