Sunday, April 19, 2015


MLINDA mlango chipukiza wa Simba, Manyika Peter Jr alianza vizuri maisha yake Msimbazi baada ya kuonesha kiwango kizuri katika mechi ya watani wa jadi ya ligi kuu mwaka jana.
Katika mechi hiyo ambayo Simba na Yanga zilitoka 0-0, Manyika alidaka kwa umahiri mkubwa mpaka kuendelea kuwashawishi makocha wa Simba wa wakati huo Patrick Phiri na Seleman Matola.
ALipokuja Goran Kopunovic mwishoni mwa mwezi desemba na kuanza kazi kwa kuiongoza Simba kombe la Mapinduzi ambapo waliibuka mabingwa, Manyika aliendelea kuaminiwa na kumuweka benchi Ivo ambaye alidaka mikwaju ya penalti kwenye mechi ya fainali dhidi ya Mtibwa Sugar.
Alipata namba katika mechi ya Yanga na Simba kutokana na makipa wawili kuumia, Ivo Mapunda na Hussein Sharrif 'Casillas.
Toka hapo Manyika alianza kupangwa kwenye mechi za ligi kuu akimweka benchi Ivo, lakini ghafla kiwango chake kikaanza kushuka na watu wakaanza kuhoji kuna nini?
Jana amecheza dhidi ya Mbeya City fc uwanja wa Sokoine Simba wakilala 2-0.
Mashabiki walimtupia lawama wakidai ameshuka kiwango na wakisema demu wake anayeonekana pichani chini ndio chanzo cha kipa huyo kuporomoka kiwango, lakini majibu aliyotoa Manyika Jr kwenye mitandao ya kijamii hakunaga, soma hapo chini;

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video