KATIKA SOKA NI NAMBA YA MAGOLI TU YENYE MAANA Katika mpira wa miguu ni namba ya magoli tu yenye maana! Mannchester United pamoja na kucheza vizuri - walikufa 1-0 mbele ya mbinu za Jose Mourinho! wa Chelsea. Bao pekee la ushindi lilifungwa dakika ya 38' na Eden Hazard
0 comments:
Post a Comment