Friday, April 17, 2015

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji

Uongozi wa klabu ya Yanga unahaha kubadili muda utakaochezwa mchezo wa kombe la shirikisho kati ya timu hiyo na Etoile du sahel hapo kesho.
Taarifa zilizoufikia mtandao huu zinasema kuwa uongozi huo una haha baada ya awali kutuma taarifa CAF kwamba mchezo huo utachezwa majiraa ya saa 9 badala ya muda wa kawaida wa saa 10.
Maombi ya kuchezwa mchezo huo saa 9 yaliyotumwa na uongozi wa yanga CAF hayakumshirikisha mwalimu wa timu hiyo Hans Van Pluijm hali iliyosababisha mwalimu huyo kugoma kuchezesha timu muda ambao hawajazoea kucheza.
Mtoa taarifa wetu amedai kuwa awali uongozi wa Yanga uliomba muda huo ili kuwachezesha Etoile kwenye jua kali hali iliyopingwa na Pluijm kwani muda huo unaweza kuwaathiri hata Yanga wenyewe ambao hufanya mazoezi saa kumi na sio saa tisa.
Hadi mchana huu viongozi wa Yanga walikua wanahaha kutuma taarifa CAF kubadili muda wa mchezo iwapo wapinzani wao Etoile watakubali mabadiliko hayo kwani wao wanajua wanacheza saa 9.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video