Sunday, April 19, 2015

RUVU Shooting imepanda mpaka nafasi ya tano kutoka nafasi ya 10 katika msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara baada ya kushinda mabao 2-1 dhidi ya Mgambo JKT kwenye mechi iliyomalizika jioni hii uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Pwani.
Kwa ushindi huo, Ruvu Shootings wamefikisha pointi 29 kwa kucheza mechi 23, pointi mbili nyuma ya Kagera Sugar wenye pointi 31 katika nafasi ya nne baada ya kucheza mechi 23 pia.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video