Sunday, April 19, 2015


GOLI la Philippe Coutinho katika dakika ya 30' lilifutwa na Christian Benteke, halafu Fabian Delph katika dakika ya 54 aliifungia Aston Villa na kuvuna ushindi wa 2-1 dhidi ya Liverpool katika mechi ya nusu fainali ya kombe la FA.
Mashabiki wengi walikuwa na hamu ya kuona fainali ya FA baina ya Arsenal na Liverpool, lakini mambo yamekuwa magumu kwa Majogoo wa jiji, hivyo washika bunduki wa London watachuana na Aston Villa katika mechi ya fainali itakayochezwa uwanja wa Wembley, London.

Liverpool defender Dejan Lovren made a last-ditch attempt to block Delph's shot however he was unable to close the England ace down

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video