Tuesday, April 7, 2015


CRYSTAL Palace wameonesha umwamba baada ya jana usiku wakiwa nyumbani kufanikiwa kuitandika mabao 2-1 Manchester City katika mechi pekee ya ligi kuu iliyopigwa uwanja wa Selhurst Park.
Glenn Murray wheels away after scoring the opening goal for Crystal Palace while Joe Hart appeals for an offside flag that never came
Bao la kwanza la Palace lilifungwa dakika ya 34' na Grenn Murrry na la pili kikafungwa dakika ya 48' na Jason Puncheon.
Bao la kufutia machozi la Man City lilifungwa dakika ya 78' na Yaya Toure.
Toure is congratualted by his team-mates as City hurried to get the game restarted as they searched for an equaliser late on
Jumapili ya wiki hii, City watachuana na Manchester United Old Trafford.
BAADA YA MECHI HIYO

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video