Friday, April 10, 2015

Alves (kulia) anatarajia kusepa Barca

Dani Alves anajiandaa kuondoka Barcelona majira ya kiangazi mwaka huu.
Wakala wa beki huyo wa kulia wa Brazil amethibitisha kuwa nyota huyo amegoma ofa ya mkataba wa mwisho wa Barcelona.
Alves mwenye sifa ya kupandisha mashambulizi winga ya kulia na kupiga krosi na wakati mwingine kufunga, amefurahia mafanikio katika miaka mingi aliyokaa Barcelona akishinda mataji manne ya ligi kuu Hispania, La Liga na makombe mawili ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Lakini beki huyo mwenye miaka 31 amegoma kukubali mkataba mpya wa Wakatalunya na ataondoka Camp Nou majira ya kiangazi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video