Friday, April 10, 2015

Kijana muokota mipira wa Aston Villa (wa mbele kushoto) awali alisinzia akiwa nyuma ya goli la QPR

KUFUNGWA magoli matatu lazima kulimuumiza kipa, lakini Rob Green alipewa machungu zaidi baada ya mmoja kijana muokota mipira 'Ball Boy' wa Aston Villa kumfanyia kituko cha aina yake siku ya jumatatu usiku.
Dakika za majeruhi, QPR ilitoka 3-3 ugenini dhidi ya Aston Villa, na 'Ball boy' aliamua kuchelewesha muda kwa sekunde kadhaa kwa kitendo cha kuuchukua mpira na kuupitisha miguuni mwa kipa 'tobo' wakati mlinda mlango huyo namba moja wa zamani wa England alipokwenda kufuata mpira wa haraka.
Baada ya kitendo hicho, kipa alichukua mno na kijana huyo akakimbia 'mdogo mdogo'
Ball Boy huyo kwanza alifanya kitendo cha aibu cha kusinzia wakati mechi inaendelea na aliposhituka na kuona kipa anakwenda kuchukua mpira akajifanya kama anataka kumpatia kabla ya kuupitisha katikati ya miguu ya kipa huyo mkongwe mwenye miaka 35.

The Rangers No 1 smiles as he moves to retrieve the ball from the youngster during the 3-3 draw
Kipa akienda kuchukua mpira katika sare ya 3-3
The cheeky lad decides to embarrass the former England stopper by rolling the ball through his legs
Kijana huyo akamchukiza kwa kupitisha mpira miguuni 
The 35-year-old shows his frustration as the young prankster makes a swift exit
Kipa huyo mwenye miaka 35 alifura kwa hasira, lakini kijana huyo taratibu akakimbia 

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video