Messi amethibitisha mwenyewe kwamba anakaribia kuwa baba kwa mara ya pili baada ya ku-post picha ya mtoto wake wa kwanza (Thiago) akibusu tumbo la mama yake. Tumbo hilo limebeba mdogo wake Thiago ambae ni mtoto wa kwanza wa Lionel Messi.

Kwenye caption ya hiyo picha Messi ameandika “Waiting for you baby. We love you”. Mke wa Messi anaitwa Antonella Roccuzzo. Pia Messi amejichora tatoo ya mikono ya mtoto wake Thiago kwenye mguu wake.
0 comments:
Post a Comment