Nyota wa Simba, Emmanuel Okwi (katikati) na Mganda mwenzake, Danny Sserunkuma (kulia) wakipiga msosi
USIKU wa jana, Simba ilialikwa kushiriki chakula cha usiku kilichoandaliwa na Mfanyabiashara mkubwa nchini na mjumbu wa kamati kuu ya CCM, NEC, Christopher Gachuma kwenye Hoteli yake ya Mwanza Hotel jijini Mwanza.
Wageni waaalikwa wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wa Simba
Usipopiga pocha na Okwi utamkuta wapi tena?
Kocha mkuu wa Simba (kulia) akiwa na Gachuma
Afisa habari wa Simba, Hajji Manara akizungumza machache wakati wa chakula hicho
Kipa wa Simba, Hussein Sharrif 'Casillas' akipiga msosi












0 comments:
Post a Comment