Jose Mourinho amesema kuwa ni rahisi sana kuifundisha Manchester United kuliko Chelsea kutokana na sheria za sasa za UEFA za usawa katika mapato na matumizi(UEFA Financial Fair Play)
Mourihno amedai kuwa United, kama moja ya timu zenye uwezo mkubwa wa kifedha kwa sasa ulimwenguni wana uwezo wa kujenga kikosi imara kuliko Chelsea ambayo uwezo wake wa kifedha ni wa kawaida mno.
'Ndio ni rahisi,' Mourinho alisema. 'Ilikuwa rahisi hapo kabla kwa Chelsea, lakini kwa sasa hali sio shwari, ni ngumu kweli kweli. Tumeuza wachezaji wa kutosha tu, sio Mata pekee, ni wengi tu'
Kocha wa United Louis van Gaal leo atawakosa wachezaji wake Michael Carrick, Phil Jones, Marcos Rojo na Daley katika pambano dhidi ya Cheksea litakalopigwa Stamford Bridge.
Lakini Mourinho amesema: 'Kikosi chao(United) ni bora sana kuanzia idadi, wachezaji wenyewe na hata uzoefu pia.
'Nina skrini kubwa sana ofisi kwangu, sio timu ninayoenda kupambana nayo bali kikosi na vitu vingine.
'Wiki hii, wakati nilipokuwa naelekea vyumbani, kwa mara ya kwanza kabisa, niligundua vitu walivyonavyo. Sisemi kuwa ni kikosi bora, ila ni kikosi kizuri sana. Mimi nilienda kucheza na QPR nikiwa na Didier Drogba tu huku kukiwa hamna mshambulizi yeyote mwingine kwenye benchi na ukiangali kwa muda mrefu san tumekuwa katika matatizo, ila unatakiwa uyapokee na kuendana nayo tu'

0 comments:
Post a Comment