Thursday, April 16, 2015

Barack Obama
Barack Obama alionyesha skillz zake za soka wakati timu ya L.A Galaxy ilivyotembelea White House mwaka 2013, lakini hivi sasa Obama ni shabiki wa Wesrshowed his football skills when LA Galaxy visited the White House in 2013, but the US President’s allegiance apparently lays with West Ham.

The Telegraph iliandika kwamba Obama ni shabiki mkubwa wa Hammers, aliwai kuhudhulia mechi yao mwaka 2003 licha ya ratiba yake kuwa ngumu.
real
Mariano Rajoy
Mariano Rajoy alikua waziri mkuu wa Hispania tangu mwaka 2011, licha ya kuzaliwa na kukulia mji mwingine kabisa wa Galicia Mariano amekua shabiki mkubwa wa club ya Real Madrid kwa muda mrefu sana. Yeye mwenyewe anasema alikua member wa Los Blancos kwa miaka 25.

david cam
David Cameroon
Waziri mkuu wa Uingereza licha ya kuwa mtu wa watu lakini likija swala la ushabiki wa club anayoipenda hataki kusikiliza la mtu. David Cameron ni shabiki mkubwa wa Aston Villa. Mjomba wak Sir William Dugdale alikua mwenywekiti wa Aston Villa na alimpeleka kwenye mechi kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 13

DE
Silvio Berlusconi 
Silvio Berlusconi aliwai kuwa waziri mkuu wa Itali na yuko busy kuendesha club yake ya AC Milan ambayo aliinunua mwaka 1986 kutokana na pesa zake alizo save akitokea kuwa masikini. Sasa huyu jamaa hajanunua timu kibiashara tu, bali ni shabiki namba moja wa AC Milan.

colith
Luiz Inacio
Luiz Inacio Lula Da Silva alikua rais wa Brazil kabla ya Dilma Rousseff. Lula alihamia Sao Paolo akiwa na umri mdogo sana na hapo ndio akaanza ushabiki wa Corinthians.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video