Monday, April 20, 2015

Je, huu ni ushahidi kwamba nyota wa kimataifa wa Argentina, Angel Di Maria yuko tayari kukaa kwa muda mrefu Manchester United?
Picha mpya imetawala kwenye mitandao ya kijamii jumatatu hii ikimuonesha Di Maria akiwa na 'tattoo' mpya kwenye mkono wake wa kushoto.
Di Maria alikuwa tayari ameshajichora Tattoo kwenye mkono wake, lakini ameongeza namba 7 karibu na kiwiko chake.
Mchezaji huyo wa zamani wa Real Madrid anavaa jezi namba 7 Old Trafford na mashabiki wengi wamechukua picha hiyo inayomaanisha yuko tayari kukaa kwa muda mrefu Man United.
Msimu wa kwanza wa Di Maria ligi kuu England umekuwa mgumnu baada ya kusajiliwa kwa paundi milioni 59.7 kutoka Real Madrid.
Di Maria amefunga magoli manne (4) katika mechi 28 alizocheza Man United na amekuwa akihusishwa kuhamia PSG kufuatia kukosa namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha Old Trafford.
Tazama picha ya Di Maria hapo chini
CC JfkAWEAA2efQ So hes staying, right? Man Uniteds Angle Di Maria shows off his new number 7 tattoo [Picture]

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video