Saturday, April 18, 2015

GOLI pekee la Eden Hazard katika dakika ya 38'  limetosha kuipa ushindi Chelsea katika mechi ngumu ya ligi kuu iliyopigwa uwanja wa Stamford Bridge dhidi ya Manchester United.
Licha ya ushindi huo, Man United walitawala mchezo na mpaka dakika 90' zinamalizika walikuwa wanaongoza umiliki wa mpira wa 71% kwa 29% za Chelsea.
Chelsea forward Eden Hazard (second from left) slots the ball past Manchester United goalkeeper David de Gea to open the scoring
Moja ya timu zenye uwezo wa kujilinda na kulazimisha matokeo barani ulaya,Chelsea ya Jose Mourinho ni kiboko.
Timu zote hazikuwa na makeke ya kutosha na kila moja ilipiga mashuti mawili tu yaliyolenga lango kwa dakika zote 90'.
A TV camera gets a close-up of the goalscorer as Hazard celebrates with Didier Drogba in front of a section of home fans at Stamford Bridge
Mashuti ambayo hayakulenga lango, Man United wamepiga 9 dhidi ya 3 ya Chelsea.
United walipata kona 7 dhidi ya 3 za Chelsea, lakini haikuwasaidia kukwepa kipigo kutoka kwa vinara wa ligi.
Ushindi huo unaifanya Chelsea iwe mbele kwa pointi 10 dhidi ya Arsenal wanaoshika nafasi ya pili wakiwa na pointi 66.
Matokeo ya mechi zote za leo....

April 18
FT
Crystal Palace
West Bromwich Albion
FT
Everton
Burnley
FT
Leicester City
Swansea City
FT
Stoke City
Southampton
FT
Chelsea
Manchester United

MSIMAMO SASA UNASOMEKA



0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video