Japokuwa Chelsea ipo kwenye nafasi nzuri lakini Jose Mourinho hana cha kupuuzia.
Chelsea wakielekea kwenye mechi yako dhidi ya Manchester united wameanza kutumia teknolojia mpya kujifua kwenye mazoezi ya gym.
Kupitia account yao ya twitter Chelsea wamesema wanayo furaha kutangaza kwamba hivi sasa wanatumia teknolojia mpya kwenye mazoezi ya gym.
Wachezaji wa Chelsea wame post video na picha wakiwa kwenye mazoezi makali kwenye hiyo teknolojia mpya tayari kuivaa Man United leo kuanzia majira ya saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Mechi hiyo inapigwa uwanja wa Stamford Bridge mjini London


0 comments:
Post a Comment