Thursday, April 16, 2015

 Neymar Jr amefunga goli 1 katika magoli 3-1 waliyoshinda Barcelona ugenini kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya PSG na alishangilia kwa staili ya kuweka mpira tumboni ndani ya jezi yake kama vile ana mimba.
Naye Ricardo Quaresm amefunga magoli mawili kati ya 3-1 waliyoshinda FC Porto dhidi ya FC Bayern Munich na alishangilia kwa staili ya Neymar.
Staili hiyo ni maarufu kwa wachezaji ambao wanawaenzi wapenzi wao wenye ujauzito, lakini kwa hawa wawili bado haijafahamika wamememaanisha nini

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video