ARSENAL walizoea kuongoza ligi kila msimu unapoanza kwa zaidi ya miaka mia sasa kwa sababu ya herufi yao kuwa mwanzo, so hata kabla ya kucheza mechi ya kwanza Arsenal
walikuwa wakiongoza ligi na kusubiri msimamo halisi wa ligi, dili hilo limeharibiwa na AFC Bournemouth ambao wamepanda daraja msimu huu na hao ndo watakuwa wanaongoza ligi msimu utakapokuwa unaanza. Hii ni habari
mbaya kabisa kwa majirani zetu waliozoea
kuongoza ligi kwa herufi kila msimu unapoanza.Wartford pia ni miongoni mwa timu zilizopanda daraja zikisubiri timu nyingine moja itakayopanda daraja kwa mtoano
0 comments:
Post a Comment