Wednesday, April 8, 2015

BABA mzazi wa kiungo wa Simba, Jonas Mkude, Mzee Gerard Mkude alizikwa jana makaburi ya Mwembejini, Konondoni, Dar es salaam.
Mzee Mkude alifariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita.
Makamu wa Rais wa Simba Geofrey Nyange Kaburu, kocha msaidizi, Seleman Matola na wajumbe wengine wa kamati wa utendaji kama vile Ali Sulu, Mulamu Ng'ambi, Collins Frich na aliyekuwa meneja wa Simba B Patrick Rweyemamu waliiwakilisha Simba katika mazishi hayo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video