Wednesday, April 8, 2015


Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers ameutetea
mwelekeo wa kikosi chake baada ya kushindwa
mabao 4-1 na timu ya Arsenal.

Mechi hiyo ambayo ni ya pili kwa Liverpool
kupoteza mfululizo,inaiwacha timu hiyo ikiwa
alama saba nyuma kuweza kufuzu katika
michuano ya kombe la vilabu bingwa Ulaya.

Hatahivyo Rodgers amesema kuwa mwelekeo wa
wachezaji wa timu hiyo ni mzuri

''Tumefanya mikutano mingi kuangazia makosa
yetu na lengo la letu la kumaliza katika nne
bora'',alisema Rodgers.

Mkufunzi huyo amesema hayo licha ya kusema
siku ya jumamosi kwamba hawana hakika iwapo
watafuzu kwa kombe la vilabu bingwa Ulaya.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video