Monday, March 2, 2015

Baada ya kukosa namba mara kwa mara katika kikosi cha kwanza cha Real Madrid, beki wa klabu hiyo na timu ya taifa ya ufaransa Rafael Varane sasa yupo mbioni kutua katika klabu ya Manchester United msimu ujao.


Varane ambae amekuwa akijumuhishwa katika kikosi cha kwanza cha kocha Carlo Anceloti  katika siku za hivi karibuni kwa sababu ya jeraha linalomkabili beki kisiki wa klabu hiyo Sergio Ramos,amesema sasa anafikilia ni wakati mwafaka wa kutafuta klabu ambayo atakuwa na nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza.


Kocha wa klabu ya Manchester United Louis Van Gaal ameonyesha nia ya kumsajili beki huyo kwa kumtengea kitita cha Uro milioni 30 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kikosi cha United hususani katika nafasi ya ulinzi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video