Sunday, February 8, 2015

HATIMAYE siku imefika!. Tangu kuanza kwa michuano hii januari 17 mwaka huu, Ivory na Ghana ni miongoni mwa nchi zilizokuwa zinapigiwa upatu wa kutaa ubingwa wa Afcon 2015.
Leo mataifa haya makubwa barani Afrika yanakutana majira ya saa 4:00 katika mechi ya fainali inayopigwa nchini Guinea ya Ikweta.
Hii ni marudio ya fainali ya mwaka 1992 ambapo Ivory Coast walitwaa ubingwa kwa kuifunga Ghana penalti 12 kwa 11.
Ghana wanahitaji ubingwa wao wa sita wakati Ivory Coast wanahitaji ubingwa wa pili.
Jana mechi ya mshindi wa tatu ilipigwa na kushuhudiwa DR Congo wakishinda kwa penalti 4-2 dhidi ya wenyeji Guinea ya Ikweta.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video