Monday, February 16, 2015



Wawakilishi wa Zanzibar katika michuano ya kimataifa mwaka huu, KMKM na Polisi FC zimeuanza vibaya mwaka 2015 katika soka la kimataifa baada ya zote kupoteza mechi zake za kwanza ugenini.

Wakati KMKM ilifungwa mabao 2-0 dhidi ya Al-Hilal nchini Sudan jana katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya Klabu Bingwa Afrika, Polisi Zenj ipigwa 'mkono' (mabao 5-0) dhidi ya CF Mounana nchini Gabon.

Wawakilishi wa Tanzania Bara, Yanga SC waling'ara kwa kuitungua 2-0 BDF XI FC ya Botswana kwenye Uwanja wa Taifa jijini hapa juzi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video