Na Bertha Lumala, Dar es Salam
Wakati Azam FC ikichanua jijini hapa kwa kuichapa mabao 2-0 El-Merikh ya Sudan, timu nyingine kubwa barani Afrika ikiwa Al Ahly, zimefanya kweli mwishoni mwa wiki.
Azam inayonolewa na Mcameroon Joseph Omog iliwafunga mabingwa hao mara 19 wa Ligi Kuu ya Sudan idadi hiyo ya mabao kwenye Uwanja wa Azam jijini hapa jana.
Shukrani kwa mabao ya kinara wa kufumania nyavu Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa, Mrundi Didier Kavumbagu na mtokeabenchini John Bocco 'Adebayor'.
Habari mbaya kwa Tanzania ni kufungwa mabao 2-0 kwa wawakilishi wa Zanzibar, KMKM katika mechi yao ya kwanza ugenini dhidi ya Al-Hilal ya Sudan jana.
Matokeo mechi zote za wikendi Klabu Bingwa Afrika haya hapa:-
Ijumaa 13 Februari 2015
Al-Ahly Tripoli (Libya) 1-0 Smouha (Egypt)
Raja Casablanca (Morocco) 4–0 Diables Noirs (Congo)
CO Bamako (Mali) 2-0 Moghreb Tetouan (Morocco)
Jumamosi, 14 Februari 2015
Séwé Sport (Cote d’Ivoire) 1-2 AS Kaloum (Guinea)
AS Pikine (Senegal) 1–0 Etoile Filante (Burkina Faso)
Recreativo Libolo (Angola) 3-1 Sanga Balende (DR Congo)
KCCA (Uganda) 1-0 Cosmos Bafia (Cameroon)
Lydia Academic (Burundi) 0-0 Kabuscorp (Angola)
Mouloudia El-Eulma (Algeria) 1-0 St George (Ethiopia)
Gor Mahia (Kenya) 1-0 CNaPS Sport (Madagascar)
Al-Malakia (South Sudan) 0-2 Kano Pillars (Nigeria)
Real Banjul (Gambia) - Barrack Young Controllers (Liberia)
Kaizer Chiefs (South Africa) 2-1 Township Rollers (Botswana)
St Michel Utd (Seychelles) 1-1 Mamelodi Sundowns (South Africa)
Mangasport (Gabon) 1-0 Bantu (Lesotho)
Stade Malien (Mali) 0-0 AS Gendarmerie Nationale (Niger)
Jumapili, 15 Februari 2015
Al-Hilal (Sudan) 2-0 KMKM (Zanzibar)
Mbabane Swallows (Swaziland) 1-1 ZESCO Utd (Zambia)
USM Alger (Algeria) 3-0 Foullah Edifice (Chad)
Fomboni Moheil (Comoros) 0-1 Big Bullets (Malawi)
Azam (Tanzania) 2-0 El-Merreikh (Sudan)
Ela Nguema (Equatorial Guinea) - Semassi Sokode (Togo)
Enyimba (Nigeria) 3–0 Buffles (Benin)
Liga Muçulmana (Mozambique) 0-0 APR FC (Rwanda)

0 comments:
Post a Comment