Thursday, February 19, 2015


The man attempts to board  but is refused entry by supporters  travelling to the Champions League tie in Paris
Mwafrika akishuka kwenye Treni ili kuepusha ugomvi dhidi ya mashabiki wa Chelsea waliokuwa wakisafiri kwenda mjini Paris

KLABU ya Chelsea imeahidi kuwafungia mashabiki walioimba nyimbo za ubaguzi wa rangi na kumtukana mtu mweusi (Mwafrika) katika treni la Paris Metro.
Tukio hilo lilitokea juzi jumanne Chelsea ikilazimisha sare ya 1-1 ugenini dhidi ya PSG, mechi ya kwanza ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Mashabiki hao waliimbia, "sisi ni wabaguzi wa rangi, sisi wabaguzi wa rangi na ndivyo tunapenda" na baada ya hapo abiria huyo mweusi alishuka kwenye Treni kuepusha ugomvi.
The man attempts to reason with the passengers, who prevent him from getting on to the Paris Metro train
Mwafrika akijaribu kujibizana na abiria wanaomzuia kuingia ndani ya Treni ya Metro

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video