
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na Manchester City Daniel Sturridge hajawahi kuichezea Liverpool katika michuano ya Ulaya
DANIEL Sturridge yuko tayari kuichezea Liverpool mechi ya yake ya kwanza ya mashindano ya ulaya leo, Majogoo wa jiji wakiikaribisha Besiktas uwanja wa Anfield katika mechi ya ligi ya League.
Sturridge alikosa msimu mzima wa Uefa mwaka jana kwasababu ya majeruhi ya mguu ambayo alipata kuelekea uwanja wa Santiago Bernabeu wakichuana na Real Madrid.
Pia alikosa mechi ya ligi ya Europa dhidi ya Zenit St Petersburg mwezi februari 2013, na mwaka huo tayari alikuwa ameichezea Chelsea katika mechi ya ligi ya mabingwa.
0 comments:
Post a Comment