KAMA HUJATAZAMA MECHI NIMEKUWEKEA MATOKEO EPL LEO WATUKUTU wa London, Tottenham Hospurs wametoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya West Ham United katika mechi ya ligi kuu England. Nao Everton wametoka sare ya mabao 2-2 na Leicester City, wakati Liverpool wameshinda mabao 2-0 dhidi ya Southampton.
0 comments:
Post a Comment