Ivory Coast wamekuwa mabingwa wapya
wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa
penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa
Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.
Mlinda Mlango wa Ivory
Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa mara lakini ndiye
aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na kufunga penalti ya
mwisho iliyowapa ubingwa Tembo wa Afrika.
0 comments:
Post a Comment