Monday, February 9, 2015




Wakala wa mlinda mlango wa klabu ya Manchester United na timu ya Taifa ya Uhispania David De Gea, Jorge Mendes amethibitisha kuwa yupo katika mazungumzo na mashetani wekundu kuhusu kuongeza mkataba wa mchezaji huyo kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye makazi yake katika dimba la Old Trafford, licha ya kuhusishwa kutimkia kunako mabingwa watetezi wa kombe la klabu bingwa barani ulaya Real Madrid.

United kwa kupitia kocha wake mholanzi Luis Van Gaal imesema inaamini kuwa De Gea ambaye mkataba wake unamalizika mwaka 2016 ataendelea kuitumikia klabu hiyo kwa muda mrefu zaidi, licha ya fununu kuwa mchezaji huyo mwenye miaka 24, yupo mbioni kurudi kwao nchini Uhispania.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video