Sunday, February 15, 2015

IMG-20150210-WA0048
BAADA ya kupita miaka 27, Mwadui FC  imerejea ligi kuu Tanzania bara baada ya kuitandika Burkifaso mabao 4-1 katika mechi ya mwisho ya ligi daraja la kwanza iliyopigwa leo uwanja wa Mwadui, Shinyanga.

Mwadui inarudi ligi kuu ikiwa chini ya kocha Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’ ambaye ametamba kutwaa ubingwa msimu ujao.

Mbali na Mwadui, timu nyingine zilizopanda ligi kuu msimu ujao ni Toto Africans ya Mwanza, Majimaji ya Songea na African Sports ya Tanga.

Cha kufurahisha zaidi ni kwamba timu zote zilizopanda mwaka huu zilikuwepo ligi kuu miaka ya nyuma.

Hakuna timu mpya kabisa iliyopanda kama ilivyokuwa kwa misimu michache iliyopita ambapo timu kama Stand United, Mbeya City zilipanda ligi kuu.


Ligi kuu msimu ujao itakuwa na jumla ya timu 16 na timu mbili zitashuka daraja msimu huu.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video