Thursday, February 19, 2015


Na Amplifaya Amplifaya

KIPA wa Simba na mlinda mlango bora wa ligi kuu soka Tanzania bara  msimu wa 2013/2014 akiwa na Mtibwa Sugar, Hussein Shariff 'Casillas', amekata tamaa kurejea uwanjani msimu huu baada ya kushindwa kupona haraka jeraha la upasuaji wa mguu aliofanyiwa kufuatia kuumia
wakati wa ziara ya mazoezi nchini Afrika Kusini.

Casillas aliyetua Simba akitokea Mtibwa Sugar ya Manungu, Turiani mkoani Morogoro aliumia Desemba mwaka jana wakati timu hiyo ilipokuwa ziarani 'Sauzi' na ana shaka kama ataweza kurejea kabla ya msimu huu kumalizika Mei.

Cassilas alisema anajisikia vibaya sana kukosa kurejea mazoezini na Simba japo anafanya mazoezi madogo madogo na kikosi cha chini ya umri wa miaka 20 cha wekundu hao wa Msimbazi

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video