Friday, September 5, 2014


Fergie time: Sir Alex Ferguson says European managers are split on the relevance of the away goal rule
Wakati wa Fergie: Sir Alex Ferguson anasema makocha wa Ulaya wamegawinyika kuhusu goli la ugenini

SIR Alex Ferguson amesema makocha wa ulaya wamegawanyika kuhusu sheria ya goli la ugenini ambalo lililetwa mwaka 1965-66 katika kombe la washindi.
Makocha hao wanajadili kama sheria hiyo inatakiwa kuendelea ama la katika mashindano kama vile ligi ya mabingwa na kombe la Europa.
Goli la ugenini linakosolewa kuwa halina haki na linatakiwa kufutwa kwasababu mpira umebadilika tangu lilipoletwa ikiwa ni miaka 50 imepita.
"Kulikuwa na mjadala kuhusu bao la ugenini kama lina faida kwa soka la leo," Alisema Sir Alex Ferguson baada ya mkutano wa  mwaka wa makocha uliomalizika jana alihamisi makao makuu ya UEFA.
'Baadhi wanadhani sio muhimu kulitumia kwa sababu timu nyingi zinashambulia sana siku hizi na ina maanisha timu nyingi zinakwenda ugenini na kushinda'

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video