Friday, September 5, 2014


 Makamu wa Rais wa Simba sc, Geofrey Nyange Kaburu akiongea na Meneja wa Benki ya Posta, Tawi la Mkwepu,  Miss Kindamba Haule
Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange Kaburu akikabidhiwa kadi yake ya VIP kutoka kwa meneja wa benki ya Posta Tawi la Mkwepu, Miss Kindamba Haule
Kuburu akijaribu kaid hiyo ya VIP

MAMBO si ndiyo haya! Hivyo ndivyo unaweza kusema.

Huduma rasmi za kibenki ni muhimu sana na inatakiwa kuwa na kadi. Ni kadi ya aina ipi, nalo jambo la msingi.

Hatimaye makamu wa Rais wa klabu ya Simba sc, Geofrey Nyange Kaburu amekabidhiwa kadi ya VIP kutoka kwa meneja wa benki ya Posta.

Makabidhiano hayo yamefanyika katika tawi la Mkwepu leo hii kama sehemu ya kuboresha hudumu za kibenki kwa klabu ya Simba sc.




0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video