BUNDUKI ZOTE AZAM FC ZATINGA MAZOEZINI KUISAKAMA YANGA JUMAPILI BACK IN ACTION! Wachezaji wote waliokuwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" wamerejea kundini na wameingia kambini na wenzao Chamazi - Azam Complex! Captain msaidizi Salum Abubakar "Sure boy" Pichani juu akiwa mazoezini jioni hii.
0 comments:
Post a Comment