
Kwa mujibu wa Raisi
wa Atletico Madrid, mshambuliaji wa Borrusia Dortmund Marco Reus amekataa
uhamisho wa fedha nyingi kwenda Manchester United. Raisi huyo alikuwa akijibu
tetesi za kwamba Reus atajiunga na klabu yake, ndipo akasema "Reus amegoma
kwenda klabu kubwa na yenye fedha kama United atakuja vipi kwetu Atletico ambao
hatuna misuli ya fedha kama United."
0 comments:
Post a Comment