
Rooney akijaribu kufunga kwa kupiga mpira wa adhabu ndogo katika kipindi cha kwanza mjini Miami, lakini aligongesha ukuta wa mabeki

Hernandez, akipokonywa mpira na Skrtel

Ander Herrera akipiga mpira, huku akizongwa na kiungo wa Liverpool Jordan Henderson

Kiungo wa United, Juan Mata akijaribu kumiliki mpira mbele ya Martin Skrtel

Antonio Valencia (kulia) alitokea benchi baada ya Luke Shaw kupa majerehi

Javier Hernandez akipiga shuti lakini mpira ukazuiliwa na nahodha wa Liverpool, Gerrard

Kiungo wa United, Ashley Young akimgeuza Glen Johnson

Raheem Sterling akichuana Phil Jones

Jones akimshika usoni Sterling baada ya bwana mdogo kumtoka

Wayne Rooney akimpa vitu vya kiufundi beki wa Liverpool, Martin Skrtel.
0 comments:
Post a Comment