HAWA SITA WANAACHWA KATIKA USAJILI WA LOUIS VA GAAL Louis van Gaal anaweza kuwaacha katika usajili wake wachezaji sita ambao ni Nani, Anderson, Marouane Fellaini, Shinji Kagawa, Javier Hernandez na Wilfried Zaha. Wachezaji hawa wanasubiri maamuzi ya Van Gaal wakati wowote kutoka sasa.
0 comments:
Post a Comment