Cheki Manchester United walivyokuwa
wakimchukua Angel Dimaria kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Uingereza jana
usiku kuelekea makao makuu ya klabu hiyo Old trafford tayari kuanza kufanyiwa
vipimo vya utimamu wa afya ili ajiunge na klabu hiyo.
![]() |
Hakuna
siri duniani: angalia jinsi Dimaria (kushoto nyuma ya dereva ) alivyonaswa na
kamera ya paparazi jana jioni wakiwa njiani kuelekea
Oldtrafford.
|
Mashetani Wekundu wamefanikiwa
kunasa sahihi ya winga huyo bora kabisa wa Real Madrid kwa ada ya paundi
milioni 59.7 bei ambayo itamfanya Dimaria kuwa katika orodha ya wachezaji wa
tano kuwahi kununuliwa kwa bei ya juu duniani. Wengine ni Bale, Ronaldo,
Suarezn na Rodriguez.
Kama Dimaria hatakutwa na hitilafu
yoyote ya kiafya, basi anaweza akala kandarasi ya miaka mitano pale
Oldtrafford.
0 comments:
Post a Comment