
Mzee hapa heshima tupa kule, huchezi mpira huu!: Raheem Sterling, akimsumbua mkongwe wa Italia Andrea Pirlo
`Kajanja sana haka katoto`: Sterling akikwepa buti za Matteo Darmian.

Kijana Hatari: Nyota huyu mwenye miaka 19 aliwasumbua vibaya sana mabeki wenye uzoefu wa timu ya Taifa ya Italia.
0 comments:
Post a Comment