Saturday, June 28, 2014


Uruguayan Wave: Suarez waves to fans from his mother's house in Montevideo after leaving the World Cup
Waving goodbye? The Liverpool striker could be on his way out of the club if Barcelona offer £80m
Mshambuliaji wa Liverpool anaweza kwenda Barcelona kwa dau la puandi milioni 80.
Good times: Luis Suarez was the Premier League Player of the Year last season but Liverpool could now sell
Happy days: Suarez celebrates winning the golden boot with his daughter Delfina and wife Sofia
Siku za furaha: : Suarez akishangilia kushinda kiatu cha dhahabu pamoja na mtoto wake  Delfina na mke wake Sofia
Shame: The Uruguay forward has been banned for four months after biting Giorgio Chiellini at the World Cup
Aibu: Mshambuliaji wa Uruguay  amefungiwa miezi minne kucheza soka baada ya kumng`ata beki wa Italia  Giorgio Chiellini katika fainali za kombe la dunia nchini Brazil.

  Liverpool wameanza mbio za kumuwania mchezaji wa Benfica,  Lazar Markovic. 
Mserbia, Markovic  ni moja ya wachezaji bora wenye umri mdogo katika soka la Ulaya na bei yake ni paundi milioni 20.
Japokuwa Liverpool walikuwa wanaweka ngumu kwa dau hilo, lakini baada ya kupokea taarifa za FIFA kuhusu kumfungia Suarez wamelazimika kukubali na kumruhusu Muurguay huyo kuondoka klabuni hapo.
Licha ya kufungiwa, Liverool wanaamini Barcelona inaweza kulipa paundi milioni 80 na tayari mmiliki mkuu wa klabu hiyo John W Henry anaonekana kutokuwa tayari kumuuza kwa bei rahisi.
Mwanasheria wa Suarez Alejandro Balbi alikuwa Barcelona kujadili hatima ya mteja wake, wakati kocha mpya wa Barca  Luis Enrique alisema hakuna tatizo lolote juu ya kumsajili nyota huyo mwenye miaka 27.
Alimfananisha Suarez na mshambuliaji gwiji wa Barca  Hristo Stoichkov na alisema : ‘Stoichkov kiukweli aliwahi kufanya madhambi makubwa dhidi ya mwamuzi, lakini aliendelea kufirika kuwa mcheza mkubwa".
Kama Liverpool watamuuza Suarez kwa paundi milioni 80, hiyo itakuwa biashara nzuri kwa Brendan Rodgers ambapo atatumia mkwanja huo kuimarisha kikosi chake.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video