Saturday, May 24, 2014


On his way? Blanc has outlined his intention to bring Eden Hazard (above) back to Ligue 1 from Chelsea
Anaondoka? Blanc  ametangaza nia ya kumsajili Eden Hazard (juu) ili amrudishe kwa mara nyingine Ligue 1 kutokea Chelsea

Demanding: Blanc (left) is under pressure from PSG's chairman (right) to bring European success
Imechapishwa Mei 24, 2014, saa 8: 20 mchana

Laurent Blanc sasa anamtaka mchezaji bora wa mwaka wa Chelsea,  Eden Hazard ili aungane na  David Luiz katika kikosi chake cha Paris Saint- Germain ikiwa ni mipango ya kung`ara kwenye michuano ya Ulaya msimu ujao.
Kocha huyo wa PSG ameweka hadharani nia yake ya kutaka kumsajili Hazard wakati huu ambao klabu yake inajiandaa kutangaza kumsajili beki wa kimataifa wa Brazil, David Luiz kwa ada ya uhamisho inayovunja rekodi ya dunia ya paundi milioni 50.
Chelsea ndio wenye maamuzi ya mwisho juu ya Hazard baada ya Blanc kukiri kuwa anamuhitaji nyota huyo raia wa Ubelgiji.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video