PICHA: MCHEKI DIEGO SIMEONE AKISHANGILIA MBELE YA MOURINHO ALIYEKOSA JEURI SHARE PICT Maisha yanatofautina sana: Angalia Diego Simeone alivyokuwa anashangilia mbele ya kocha wa Chelsea Jose Mourinho, Mreno anamshangaa tu Hapa ni baadaya ya Atletico kuandika bao la tatu, mzuka wa Diego Simone ulikuwa balaa
0 comments:
Post a Comment