
Hii kali: Terry alikaribia kudondosha chozi baada ya kipyenga cha mwisho kupulizwa jana wakiwa wamelala 3-1

Usijali: Terry akipewa pole na wachezaji wa Atletico, Mario Suarez na Tiago baada ya kipute kumalizika

Machungu: Nahodha wa Chelsea, John Terry alitoka kiwanjani huku akilengwa na machozi
0 comments:
Post a Comment