| Baadhi ya wafanyabiashara walitumia fursa ya ujio wa Yanga mkoani Kilimanjaro kuuza jezi za timu hiyo pamoja na Simba. |
| Maelefu ya mashabiki wa mchezo wa soka walifurika uwanjani kushuhudia pambano hilo. |
| Basi la Yanga likiwasili katika uwanja wa Ushirika . |
| Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm akishuka kwenye basi. |
| Kocha wa makipa wa Yanga Juma Pondamali akiingia uwanjani hapo. |
| Golipkipa wa timu ya Yanga Deogratius Munishi‘Dida’akishuka toka kwenye basi lao. |
| Mchezaji Nizar Khalfan akishuka. |
| Mchezaji Didier Kavumbagu. |
| Mbuyi Twite pia akashuka toka kweney basi. |
| Canavaro na Kelvin Yondani nao wakateremka. |
| Mchezaji Reliant Lusajo akashuka na kumkumbuka afande Pattie wakapeana kono. |
| Nizar Khalifan. |
| Akashuka Chumvi,Frank Domayo. |
| Baadae Jerryson Tegete. |
| Kisha winga machachari Mrisho Ngasa. |
| Mshabiki wakaomba angalau wapate kumbukumbu katika simu zao. |

0 comments:
Post a Comment